Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • Connect
  • Learn
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Learn
  • Connect
  • Language
  • Login/Join
Child and Youth tutoring resources  >  Child and youth Curricula  >  Mitaala ya watoto umri miaka 3-5 Series
All▾
  • All
  • Child and Youth tutoring resources
    • All
    • Child and youth Curricula
    • Intervention Categories
      • All
      • Permagarden
      • Resilience
      • Health
      • Livelihoods
      • Protection
      • Youth Development
      • Spiritual Development
      • Life Skills
  • Child Protection
  • FCP learning resources
Search
5 star average - 1 vote
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mtaala wa Kimwili - Miaka 3-5, Mwaka 1

2015
Preview

Preview

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Swahili • 7.4 MB
Tags: Kutunza Mwili, Milango Mitano Ya Fahamu, Vyakula
Category Child and Youth tutoring resources
Copyright Owner Compassion International

Mtaala huu umeandaliwa kwa ajili ya watoto wa  miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo yatahusisha mada kama: Mishipa mikubwa na midogo ya fahamu, milango mitano ya fahamu, misuli mikubwa na midogo, Mungu anataka nijitunze mwenyewe, vyakula bora, Mungu anataka kutunza mwili wangu, Mungu anataka niufahamu mwili wangu. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na nne yanahusisha, mpangilio wa somo (Urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufundisha, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za vitendo zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.

This document is part of: Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy