Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MAENDELEO YA VIJANA > Mtaala wa Vijana 12-14 |
Mtaala huu wa vijana unahusisha moduli mbalimbali zenye masomo/mada kadhaa ndani yake. Kanisa linaweza kupangilia ufundishaji wa masomo hayo na kuweka ratiba ya mwaka mzima kwa kuangalia masomo yanayohitajika kutokana na tathmini ya mahitaji.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.