Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | PHYSICAL DEVELOPMENT > Physical curriculum 3-5 |
Resource Owner | Compassion International |
Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya umri wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo yatahusisha mada kama vile: watu wenye tofauti maalumu, kuisaidia familia, kulisaidia kanisa, Mungu anataka niitunze dunia, Mungu anataka nijitunze. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na nne yanahusisha, mpangilio wa somo (Urefu,matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufundisha, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za vitendo zinatazamiwa kutumiwa kwa makundi.
ForChildren.com, presented by Compassion International, offers ideas, learning opportunities and relationships to help equip people who work with children-at-risk. We are a worldwide community of Jesus-followers who are committed to the holistic development of children. We invite you to join our collaborative community as we share with one another the ideas, experiences, methods and tools that help children thrive even in the midst of adversity.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.