Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | None |
Target Groups | 12-14 years |
Mtaala huu wa vijana unahusisha moduli mbalimbali zenye masomo/mada kadhaa ndani yake. Kanisa linaweza kupangilia ufundishaji wa masomo hayo na kuweka ratiba ya mwaka mzima kwa kuangalia masomo yanayohitajika kutokana na tathmini ya mahitaji.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.