Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mifuatano: Miongozo ya mafunzo kwa viongozi wa kanisa Mshirika-mwenza

2024
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

4 hati • Kiswahili • MB 20.0
Kategoria Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Copyright Owner Compassion International Tanzania

Mfuatano huu unahusisha miongozo mbalimbali ambayo inatumika katika mafunzo ya viongozi wa kanisa mshirikamwenza. Watumiaji wakuu ni Mchungaji, wazee wa kanisa, wanakamati, mratibu wa kituo chu huduma ya mtoto na kijana na yeyote anayehusika katika usimamizi wa kituo cha huduma ya mtoto na kijana kulingana na utaratibu wa kanisa husika.

Hati


Mbinu za kulihamasiha kanisa

Mbinu za kulihamasiha kanisa

Kitabu cha Qavah kinalenga kuhamasisha kanisa katika kutumia raslimali zake kuhudumia jamii zinazolizunguka. Mafunzo ya Qavah hufanyika kabla kanisa …
Falsafa ya Kanisa- Compassion International

Falsafa ya Kanisa- Compassion International

Kanisa ndio tumaini kubwa kwa dunia, ni chombo cha Mungu cha kuendeleza ufalme wake. Compassion International ni shirika lisilo la kujipatia faida li…
Mwongozo Wa Mafunzo ya Uandikishaji wa Watoto katika Programu

Mwongozo Wa Mafunzo ya Uandikishaji wa Watoto katika Programu

Mwongozo huu unahusisha taratibu za uandikishaji wa watoto wanaoingia katika programu. Mwongozo unafaa kwa matmizi ya makanisa mapya au watendakazi w…
Mwongozo wa mafunzo ya Viongozi wa Kanisa mshirikamwenza

Mwongozo wa mafunzo ya Viongozi wa Kanisa mshirikamwenza

Mwongozo huu unalenga kutoa maelezo juu ya usimamizi wa huduma ya mtoto na kijana kwa viongozi wa makanisa yaliyo katika ushirikawenza na Compassion …

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha