Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • Connect
  • Learn
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Learn
  • Connect
  • Language
  • Login/Join
FCP learning resources  >  Miongozo ya mafunzo kwa viongozi wa kanisa Mshirika-mwenza Series
All▾
  • All
  • Child and Youth tutoring resources
    • All
    • Child and youth Curricula
    • Intervention Categories
      • All
      • Health
      • Permagarden
      • Resilience
      • Livelihoods
      • Protection
      • Youth Development
      • Spiritual Development
      • Life Skills
  • Child Protection
  • FCP learning resources
Search
0 star average - 0 votes
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Falsafa ya Kanisa- Compassion International

2015
Preview

Preview

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Swahili • 16.0 MB
Tags: Jamii ya Kanisa, Kanisa, Kanisa anuwai, Mamlaka ya Kanisa, Sifa za Kanisa, Wajibu wa Kanisa
Category FCP learning resources
Copyright Owner Compassion International

Kanisa ndio tumaini kubwa kwa dunia, ni chombo cha Mungu cha kuendeleza ufalme wake. Compassion International ni shirika lisilo la kujipatia faida linalounganisha na kuhamasisha Kanisa duniani kutimiza jukumu lake la ufuasaji wa ujumla kwa watoto walio katika umaskini. Ikiwa na uzoefu wa miaka sitini ya kutekeleza ukuaji wa jumla kupitia kanisa, Compassion inatoa uelewaji wa msingi kwa Kanisa juu ya jukumu muhimu katika vita dhidi ya umaskini. Vilevile Compassion inaangazia umuhimu wa ulinzi na ukuaji wa watoto walio hatarini. Kijitabu hiki, kinachotolewa kwa mara ya kwanza kwa lugha ya Kiswahili, kinafafanua falsafa ya Compassion kuhusu Kanisa. Kanisa ni nini? Kwa nini Kanisa ni muhimu? Kanisa linafaa kuwa na jukumu gani katika kutokomeza umaskini na ukuaji wa watoto duniani? Karibu usome kitabu hiki.

This document is part of: Miongozo ya mafunzo kwa viongozi wa kanisa Mshirika-mwenza

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy