Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | FCP learning resources |
Copyright Owner | Compassion International Tanzania |
Mfuatano huu unahusisha miongozo mbalimbali ambayo inatumika katika mafunzo ya viongozi wa kanisa mshirikamwenza. Watumiaji wakuu ni Mchungaji, wazee wa kanisa, wanakamati, mratibu wa kituo chu huduma ya mtoto na kijana na yeyote anayehusika katika usimamizi wa kituo cha huduma ya mtoto na kijana kulingana na utaratibu wa kanisa husika.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.