Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Afua  >  Maishilio
Zote▾
  • Zote
  • Afua
    • Zote
    • Afya
    • Maishilio
    • Kiroho
    • Maendeleo ya Vijana
    • Ustahilimilivu wakati wa majanga
    • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
  • Ulinzi wa Mtoto
  • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mifuatano: Anzisha Biashara Yako-SYB

2020
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

8 hati • Kiswahili • MB 12.4
Lebo: 12-14 Years, 15-18 Years, 19+ years
Kategoria Afua > Maishilio
Outcome Areas Kujitosheleza
Needs Categories NEET, TVET, & Uzazi wa Mapato
Target Groups Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+

Mpango wa Anzisha Biashara Yako(SYB) ni programu ya mafunzo yenye lengo kuu na mwelekeo wa kuanzisha na kuboresha biashara ndogo ndogo kama mkakati wa kuunda ajira zaidi na bora kwa wanawake, wanaume na vijana haswa katika nchi zinazoendelea kiuchumi. Inajumuisha vifurushi vinne vinavyohusiana: Tengeneza Wazo la Biashara Yako (GYB), Anzisha Biashara Yako (SYB), Boresha Biashara Yako (IYB) na Panua Biashara Yako (EYB). Kama sehemu ya mpango wa AIM, Compassion International (CI) inafanya kazi kurekebisha vifurushi viwili vya kwanza, GYB na SYB, na kuwa mwanachama wa kitaasisi wa ILO.

Hati


Mwongozo wa Mshiriki wa Anzisha Biashara Yako (SYB).

Mwongozo wa Mshiriki wa Anzisha Biashara Yako (SYB).

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwapa wanafunzi nyenzo zinazohitajika kutumia katika afua hii.
Muhtasari wa Afua ya Anzisha Biashara Yako kwa Ofisi ya Nchi

Muhtasari wa Afua ya Anzisha Biashara Yako kwa Ofisi ya Nchi

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipatia Ofisi za Nchi picha ya jumla ya Afua
Mwongozo wa Washiriki-Kuza Biashara Yako(GYB)

Mwongozo wa Washiriki-Kuza Biashara Yako(GYB)

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwapatia wakufunzi nyenzo zinazohitajika kutumia katika afua hii.
Mwongozo wa Mafunzo ya Wawezeshaji (SYB)

Mwongozo wa Mafunzo ya Wawezeshaji (SYB)

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa wawezeshaji kuongoza utekelezaji wa afua hii.
Mwongozo wa Mwezeshaji (SYB)

Mwongozo wa Mwezeshaji (SYB)

Madhumuni ya mwongozo huu ni kutoa mwongozo kwa wawezeshaji wakati wa kutekeleza afua.
Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E)

Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E)

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa Ofisi ya nchi na Kanisa Mshirika mwenza (FCPs) ili kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii katika muktadha …
Muundo wa kimantiki wa Afua (logic model)

Muundo wa kimantiki wa Afua (logic model)

Huu ni muundo wa Kimantiki (Logic Model) wa Afua ya Anzisha Biashara Yako.
Muundo wa Tathmini na Ufuatiliaji (logframe)

Muundo wa Tathmini na Ufuatiliaji (logframe)

Huu ni muundo wa tathmini na ufuatiliaji (LogFrame): Anzisha na Uboreshe Biashara Yako Mwenyewe (SIYB) - Afua ya Ujasiriamali kwa Vijana

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • Mwongozo wa Mshiriki wa Anzisha Biashara Yako (SYB).

    Mwongozo wa Mshiriki wa Anzisha Biashara Yako (SYB).

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwapa wanafunzi nyenzo zinazohitajika kutumia katika afua hii.
  • Disaster Risk management

    Disaster Risk management

    Mifuatano - 3 Rasilimali
    The Disaster Risk Management Training is for equipping National Offices to support churches in identifying, understanding, and managing risks within …
  • Mwongozo wa Mwezeshaji wa Mafunzo wa Stadi za Maisha Kwa Vijana

    Mwongozo wa Mwezeshaji wa Mafunzo wa Stadi za Maisha Kwa Vijana

    Dhumuni la mwongozo huu ni kutoa mwongozo kwa wawezeshaji wakati wakufundisha afua hii ya Mafunzo ya ujuzi stadi kwa vijana.
  • M&E Logical Model( PowerPoint)

    M&E Logical Model( PowerPoint)

  • M&E Log Frame (Excel spreadsheet)

    M&E Log Frame (Excel spreadsheet)

  • Generate Your business Idea Learner guide

    Generate Your business Idea Learner guide

    The purpose of this guide is to provide learners with the materials needed to use in the intervention
  • Learner Guide

    Learner Guide

    The purpose of this guide is to provide learners with the materials needed to use in the intervention
  • Spiritual Curriculum

    Spiritual Curriculum

    Mifuatano - 1 Rasilimali
    This is a lesson collection of all the Spiritual Curriculum.
  • Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

    Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

  • Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

    Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

    Mifuatano - 5 Rasilimali
    Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha