Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Category | Intervention Categories > Youth Development |
| Outcome Areas | Youth Agency |
| Needs Categories | NEET, TVET, & Income Generation |
| Target Groups | 12-14 years, 15-18 years, 19+ years |
Afua ya Uongozi wa Vijana wa Yethro unalenga kuwashirikisha vijana katika mazingira ya uongozi wa vitendo (kwa uzoefu) ili wajifunze uongozi kwa vitendo na kufanya maamuzi. Miongozo katika Afua hii inatumia Mwongozo wa Uongozi, Katiba, Mwongozo wa Uchaguzi, na Maelezo ya Kazi kwa kila nafasi ya Uongozi. Lengo lake kuu ni kuwapa vijana zana na ujuzi muhimu kwa ajili ya uongozi wenye tija.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.