Maana ya ulinzi wa Mtoto
Gabriel C.
limechapishwa
1 year ago
Kumlinda, kumjali, kumpenda kumsikiliza na kutambua kuwa yeye ni Mtoto
Martin Q.
limejibiwa
1 day, 7 hours ago
Kumweka katika hali ya usalama kiroho,kimwili na kiakili au kumweka mbali na matatizo
Frida L.
limejibiwa
1 month, 1 week ago
ni kitendo Cha kuhakikisha mtoto Yuko salama kwenye maeneo yote
Joseph S.
limejibiwa
4 months ago
Ulinzi wa mtoto Ni uhakikisho wa uwepo wa usalama wa mtoto kimwili, kiroho, kihisia na kiakili
Pia ni kitendo cha kumtenga mtoto na vitu vyote ambavyo ni hatarishi kwake vyenye kusababisha madhara hasi kihisia, kimwili, kiakili na Kiroho.