Maana ya ulinzi wa Mtoto
Gabriel C.
limechapishwa
11 months, 1 week ago
Kumlinda, kumjali, kumpenda kumsikiliza na kutambua kuwa yeye ni Mtoto
Frida L.
limejibiwa
Masaa 16 yaliyopita
ni kitendo Cha kuhakikisha mtoto Yuko salama kwenye maeneo yote
Joseph S.
limejibiwa
2 months, 3 weeks ago
Ulinzi wa mtoto Ni uhakikisho wa uwepo wa usalama wa mtoto kimwili, kiroho, kihisia na kiakili
Pia ni kitendo cha kumtenga mtoto na vitu vyote ambavyo ni hatarishi kwake vyenye kusababisha madhara hasi kihisia, kimwili, kiakili na Kiroho.