namna ya kulinda mtoto na kijna
moses j.
posted
5 months ago
tuhakikishe sote tunajukum la kumlinda mtoto na kijana
Sibomana J.
replied
2 days, 19 hours ago
Jamii kuipatia elimu ya kutosha dhidi ya vitendo vya unyanyasaji kwa kuwahusisha vijana wenyewe pia.
KUMBUKA A.
replied
1 month, 2 weeks ago
tutoe alimu ya kutosha juu ya ulinzi wa mtoto katika jamii
moses j.
replied
5 months ago
hapana nahaki ya kulinda mtoto na kijana
moses j.
replied
5 months ago
tuhakiikishe sote tunajukumu la kumlinda mtoto na kijana