namna ya kulinda mtoto na kijna
Moses J.
limechapishwa
1 year, 5 months ago
tuhakikishe sote tunajukum la kumlinda mtoto na kijana
Frida L.
limejibiwa
3 weeks ago
wote tujikite zaidi katika kuwaelimisha watoto na vijana dhidi ya vitendo vibaya katika jamii,kuwaombea na kuhakikisha wako salama kimwili na kiakili
Sibomana J.
limejibiwa
1 year ago
Jamii kuipatia elimu ya kutosha dhidi ya vitendo vya unyanyasaji kwa kuwahusisha vijana wenyewe pia.
KUMBUKA A.
limejibiwa
1 year, 1 month ago
tutoe alimu ya kutosha juu ya ulinzi wa mtoto katika jamii
Moses J.
limejibiwa
1 year, 5 months ago
hapana nahaki ya kulinda mtoto na kijana
Moses J.
limejibiwa
1 year, 5 months ago
tuhakiikishe sote tunajukumu la kumlinda mtoto na kijana