Ulinzi wa mtoto
Justine K.
posted
10 months, 2 weeks ago
Ni kitendo cha kumlinda mtoto, kumjali, kumtambua,kumsikiliza,kumpenda na kumthamini mtoto.
Frida L.
replied
3 weeks ago
ni kitendo Cha kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji wa kimwili,kihisia,kiakili na kingono
Caroline M.
replied
3 weeks, 2 days ago
NIPOTAYARI
Martine N.
replied
8 months, 3 weeks ago
Ni hali ya kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji wa kimwili, kiakili, kihisia na kijamii