Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Sisi ni akina nani?
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Sisi ni akina nani?
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Karibu katika wavuti, Tanzania.ForChildren.com

    Jiunge nasi kuunda jamii yenye ushirikiano iliyojitolea kusaidia Kanisa kwa kutoa zana, mafunzo, kwa ajili ya  ukuaji wa watoto wa ujumla. Bofya hapa kuona mambo mbalimbali!

  • Raslimali za ufundishaji na ujifunzaji

    Raslimali za ufundishaji na ujifunzaji wa watoto,vijana na wadau wengine ni nyenzo/zana muhimu kwa kanisa mshirikamwenza. Katika wavuti huu sehemu ya Gundua inakupa ralimali hizo ambazo kila anayehusika na huduma ya mtoto na kijana anaweza kuzitumia.  Bofya hapa kuona zaidi!

    More

Maktaba

Maktaba

Pata  miongozo na rasilimali za aina mbalimbali kwa maendeleo ya kijumla ya mtoto.

Jifunze

Jifunze

Jifunze kupitia kozi mbalimbali kulingana na muda wako ili kukuza ufahamu wako wa maendeleo ya kijumla ya mtoto.

Jukwaa la mijadala

Jukwaa la mijadala

Shiriki katika majadiliano ya mtandaoni na wadau wengine wa maendeleo ya watoto duniani kote.

Select A Language Preference / Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili

Tuko kwa ajili ya watoto.

Mtandao wa ForChildren.com, unaotolewa na shirika la Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya  wafuasi wa Yesu duniani kote, jamii iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakukaribisha ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha