Jiunge nasi kuunda jamii yenye ushirikiano iliyojitolea kusaidia Kanisa kwa kutoa zana, mafunzo, kwa ajili ya ukuaji wa watoto wa ujumla. Bofya hapa kuona mambo mbalimbali!
Afua Mbalimbali
Nyenzo za afua mbalimbali.
Rasilimali za kujifunza
Raslimali za ufundishaji na ujifunzaji wa watoto,vijana na wadau wengine ni nyenzo/zana muhimu kwa kanisa mshirikamwenza. Katika wavuti huu sehemu ya Gundua inakupa ralimali hizo ambazo kila anayehusika na huduma ya mtoto na kijana anaweza kuzitumia.