Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge

Unda Akaunti

FacebookCreate Using Facebook
GoogleCreate Using Google

– Au –
Ninakubali sheria na masharti. • Tayari una akaunti? Ingia katika akaunti hapa.

Sheria na Masharti

USAJILI WA MTUMIAJI

 

Kabla ya kuingia na kutumia Tovuti, utahitajika kujisajili kama mtumiaji aliyeidhinishwa kwa kuwasilisha taarifa fulani kwenye Tovuti.   

Unapojisajili kuwa mtumiaji aliyeidhinishwa wa Tovuti, unaonyesha na kuthibitisha kwa Compassion kwamba: (a) unatumia utambulisho wako halisi; (b) taarifa unayotoa kwa Compassion kukuhusu na kuhusu shirika lako ni ya kweli, kamili na sahihi, na ya sasa; (c) utadumisha taarifa hiyo na kuisasisha inapohitajika; (d) umefikisha umri unaofaa kisheria (katika jimbo/mkoa wako au eneo lako la makazi) na una uwezo wa kiakili kuingia katika Masharti haya ya Matumizi; (e) una mamlaka kwa niaba ya shirika lako kuingia katika Masharti haya ya Matumizi na unakubali kuyatii; (f) una mahitaji halali ya kufikia Tovuti na maudhui yake na utatumia maudhui ya Tovuti kwa madhumuni yaliyoidhinishwa peke yake; na (g) huna matakwa/umikili wa kibinafsi au umiliki katika Tovuti au maudhui yake.  Zaidi ya hayo unakubali kwamba una wajibu wa kulinda na kudumisha usiri wa taarifa yako ya kuingia.  Unawajibu wa shughuli inayofanyika chini ya taarifa yako ya kuingia, kama umeidhibisha shughuli hiyo au la.  Unakubali kwamba hutauza, kuhamisha au kupeana ufikiaji wako wa Tovuti au taarifa yako ya kuingia kwa mtu yoyote wa tatu au vinginevyo kutoa ufikiaji kwa mtu yoyote wa tatu.  Compassion inahifadhi haki ya kukuagiza kubadilisha nenosiri lako mara kwa mara.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha