Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
Mwongozo huu unalenga kuwezesha watendakazi, walimu wa watoto na vijana na watu wengine ambao wanaweza kuhusika katika huduma ya awali kwa watoto na vijana ambao wamepitia hali ngumu na wanaonesha dalili za kiwewe.
Mtandao wa ForChildren.com, unaotolewa na shirika la Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote, jamii iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakukaribisha ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.