Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • Connect
  • Learn
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Learn
  • Connect
  • Language
  • Login/Join
Child and Youth tutoring resources  >  Child and youth Curricula  >  Video za kufundishia watoto Series
All▾
  • All
  • Child and Youth tutoring resources
    • All
    • Child and youth Curricula
    • Intervention Categories
      • All
      • Permagarden
      • Resilience
      • Health
      • Livelihoods
      • Protection
      • Survival and Early Childhood
        • All
      • Youth Development
      • Spiritual Development
      • Life Skills
  • Child Protection
  • FCP learning resources
Search
4.5 star average - 2 votes
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mwana mpotevu sehemu 1

2015
Watch

Mwana mpotevu sehemu 1

Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Swahili • 28.8 MB
Category Child and Youth tutoring resources > Child and youth Curricula
Copyright Owner max7.org
Target Groups 3-5 years, 6-8 years

Video za Mwana Mpotevu ziko 2 na zinasimulia mfano wa 'Mwana Mpotevu'  kama inavyopatikana katika Biblia Luka 15:11-32. Sehemu hii ya 1 inafuatilia chaguo la huyo mwana mpotevu. Hadithi inasisitiza dhamiri za kuamini na kuwa mmoja wa watu. Kwa sababu video haina vipengele vya lugha, inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fungu la Biblia katika lugha au utafsiri wowote. Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 7 na sekunde 26, na infaa kwa watu wa umri wote.

This document is part of: Video za kufundishia watoto

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

Related Documents


  • Video za kufundishia watoto

    Video za kufundishia watoto

    Series - 5 Resources
  • Mfano wa talanta

    Mfano wa talanta

    Mtu mmoja anawaachia wafanyakazi mali yake na kuwapa jukumu la kutumia mali yake ili wazalishe faida. Walifanya kitu gani? Kwa sababu video haina vip…
  • Fumbo la kondoo aliyepotea

    Fumbo la kondoo aliyepotea

    Video hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea …
  • Mwana mpotevu sehemu 2

    Mwana mpotevu sehemu 2

    Video za Mwana Mpotevu, sehemu ya pili, mfululizo hai, inasimulia fumbo la 'Mwana Mpotevu' au (Mwana Mpotevu) kama inavyopatikana katika Luka 15:11-3…
  • Intergrated Permagarden Approach

    Intergrated Permagarden Approach

    The Permagarden Approach is different from other community or kitchen garden activities because it focuses on addressing key agronomic and ecological…
  • Perma garden 3-day training guidelines

    Perma garden 3-day training guidelines

    These training guidelines provide guidance to staff and extension agents on delivering the 3-day training in permagarden for farmers. It is best for …
  • Mtiririko wa Kimantiki wa Awana (logic model)

    Mtiririko wa Kimantiki wa Awana (logic model)

  • Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

    Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

  • Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

    Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa Ofisi za Kitaifa na Kanisa Washirika Wenza(FCPs) ili kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii katika muktadh…
  • Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

    Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuipa Ofisi ya Nchi maelezo ya jumla ya afua

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy