Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • Connect
  • Learn
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Learn
  • Connect
  • Language
  • Login/Join
FCP learning resources
All▾
  • All
  • Intervention Categories
    • All
    • Health
    • Disaster Resilience
    • Livelihoods
    • Spiritual Formation
    • Protection
    • Youth Development
    • Life Skills
    • Survival and Early Childhood
      • All
      • Permagarden
  • Child Protection
  • Child and youth Curricula
  • FCP learning resources
Search
0 star average - 0 votes
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Series: Miongozo ya mafunzo kwa watendakazi wa Huduma ya mtoto na kijana

2025
Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

13 documents • Swahili • 11.0 MB
Category FCP learning resources
Copyright Owner Compassion International Tanzania
Target Groups FCP Staff, Tutors

Huu ni mfuatano wa miongozo ya watendakazi wa huduma ya mtoto na kijana katika kanisa mshirikamwenza. Miongozo hii inahusisha maelezo ya kina juu ya viwango vya kutekeleza programu kwa maendeleo ya watoto na vijana. Hivyo mtendakazi yeyote anayeingia katika huduma ya mtoto na kijana anaweza kunufaika kwa kusoma miongozo hii na kuifahamu huduma vizuri. Pia miongozo inaweza kutumika kama rejea kwa mtu yoyote akiwa katika utekelezaji au usimamizi wa huduma ya mtoto na kijana.

Documents


Viwango vya Utekelezaji wa programu

Viwango vya Utekelezaji wa programu

Mowngozo huu unahusisha viwango vya utekelezaji wa programu mbalimbali zinatofanyika kwa maendeleo ya watoto na vijana katika kituo.
CITZ-Mwongozo wa Programu ya mawasiliano- 2024

CITZ-Mwongozo wa Programu ya mawasiliano- 2024

Mwongozo huu ni kwa ajili watendakazi wapya ili waweze kujua mambo ya msingi katika mawasiliano ya washiriki wa programu na wafadhili.
CITZ Mwongozo wa programu za Afya 2024

CITZ Mwongozo wa programu za Afya 2024

Mwongozo huu unalezea taratibu mbalimbali katika kutekeleza programu za afya kwenye kituo cha huduma ya mtoto na kijana.
SAFINA TOOLKIT GUIDE-CITZ 2024

SAFINA TOOLKIT GUIDE-CITZ 2024

Mwongozo huu ulenga kusaidia watendakazi wapya hasa wanaohusika na fedha kituoni kupata ujuzi wa namna ya kutumia Safina toolki kwa masuala yote ya f…
Mwongozo wa Afua ya kunusuru maisha na programu ya nyumbani

Mwongozo wa Afua ya kunusuru maisha na programu ya nyumbani

Mwongozo wa makuzi na maendeleo ya watoto akatika umri wa awali

Mwongozo wa makuzi na maendeleo ya watoto akatika umri wa awali

Mwongozo huu umetengenezwa kwa lengo la kutoa elimu kwa watendakazi juu ya makuzi na maendeleo ya watoto katika umri awali. ELimu hii inawezesha mten…
Mwongozo wa matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani

Mwongozo wa matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani

Huu ni mwongozo unaoelekeza matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani. Ni kwa lengoa la kumsaidia mtendakazi katika utekelezaji wa mtaala wa program…
Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

Mwongozo huu unatumika kwa walimu na watendakazi ambao wanahusika kufundisha watoto n vijana katika huduma ya mtoto na kijana.

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

Related Documents


  • Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

    Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

    Mwongozo huu unatumika kwa walimu na watendakazi ambao wanahusika kufundisha watoto n vijana katika huduma ya mtoto na kijana.
  • Poster

    Poster

  • Infographic

    Infographic

  • Facilitator guide-Africa Region

    Facilitator guide-Africa Region

  • National Office intervention Overview

    National Office intervention Overview

    The purpose of this guide is to provide National Offices with an overview of the intervention
  • Trauma-Informed Training

    Trauma-Informed Training

    Series - 10 Resources
    This training an introduction to how trauma affects children and youth and what we as a community can do to help. Training includes PowerPoint presen…
  • Muundo wa Kimantiki  (Log model)

    Muundo wa Kimantiki (Log model)

  • Log frame ya Ufuatiliaji na tathmini

    Log frame ya Ufuatiliaji na tathmini

  • Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini

    Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini

    Nyaraka hii ni kwa ajili ya Usimamizi na Tathmini katika afua ya Kuzuia kujiua.
  • Mwongozo wa mafunzo- Mwezeshaji

    Mwongozo wa mafunzo- Mwezeshaji

    Nyaraka hii ni dondoo za mafunzo kwa mwezeshaji wa afua ya Kuzuia kujiua

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy