Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | None |
Resource Owner | max7.org |
Video hii inasimulia fumbo la Farisayo na Mtoza-ushuru kutokana na Luka 18:9-14. Hadithi hii inafundisha kuhusu msimamo wa maombi yetu kwa Mungu: tukijifanya wakamilifu Mungu hatatukubali sisi au maombi yetu. Hata hivyo, tukiungama makosa yetu Mungu anatupa neema na kutuhurumia na atatupatia mahitaji yetu. Rasilimali ya video hii, ambayo haina sauti na inatumika kwa lugha zote, ina urefu wa dakika 2 na sekunde 16. Inafaa kwa watoto, vijana na familia za lugha zote.
ForChildren.com, presented by Compassion International, offers ideas, learning opportunities and relationships to help equip people who work with children-at-risk. We are a worldwide community of Jesus-followers who are committed to the holistic development of children. We invite you to join our collaborative community as we share with one another the ideas, experiences, methods and tools that help children thrive even in the midst of adversity.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.