Matokeo 5
Panga kwa
Nyenzo ya Msaada wa Chakula wakati wa Maafa

Nyenzo ya Msaada wa Chakula wakati wa Maafa

Mifuatano - 7 Rasilimali
Hii ni nyenzo ambayo itatumiwa na Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza katika kupanga, kubuni, na kutekeleza afua ya kugawa chakula wakati wa maaf…
Miongozo ya mafunzo kwa wazazi/walezi wa watoto na vijana

Miongozo ya mafunzo kwa wazazi/walezi wa watoto na vijana

Mifuatano - 3 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa miongozo ya kufundishia wazazi/walezi wa watoto na vijana katika huduma ya mtoto na kijana kanisani.
Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Afua ya kuzuia kujiua

Afua ya kuzuia kujiua

Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inakusudiwa kuongeza ufahamu, kukuza uelewaji, na kukuza huruma na ujuzi wa vitendo kwa kukabiliana na kujiua ili kuzuiliwe. Washirika wa Ka…
Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

Mwongozo huu unatumika kwa walimu na watendakazi ambao wanahusika kufundisha watoto n vijana katika huduma ya mtoto na kijana.