Matokeo 14 with tag: “Kuhisi Salama”
Panga kwa
Mwiliwangunimwiliwangu-Kitabu cha kazi cha watoto

Mwiliwangunimwiliwangu-Kitabu cha kazi cha watoto

Kitabu cha “Mwili Wangu ni mwili wangu”  ni Kitabu tendaji cha Watotorasilimali kinachosaidiana tena mwingiliano ili kusaidia watoto…
Ishara za Unyanyasaji wa Watoto

Ishara za Unyanyasaji wa Watoto

Hati ya Ishara za Unyanyasaji wa Watoto ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu inatoa mashauri muhimu ya kumjibu mtoto anayefichua taarifa inayoonyesha kwamba…
Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole

Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole

Mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole yanaelezea malengo ya wimbo wa mwisho kwenye toleo la video ya Mwili Wangu ni Mwili Wangu, yanayowasaidia wa…
Wimbo wa Upendo ni Mpole

Wimbo wa Upendo ni Mpole

Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto upendo unavyofanana, ili waweze kutambua wakati ambapo jambo fulani si lenye upendo.  Kwa vif…
Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida

Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida

  Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa nne kwenye toleo la…
Wimbo wa Iwapo una Shida – Muambie Mtu

Wimbo wa Iwapo una Shida – Muambie Mtu

Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto umuhimu wa kumueleza mtu mzima anayeaminika ikiwa mtu anawaumiza. Kwa mashauri ya kuwasaidia watot…
Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”

Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”

Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje” yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa tatu kwenye t…
Wimbo wa Mchezo wa Je, Ingekuwaje?

Wimbo wa Mchezo wa Je, Ingekuwaje?

Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto “Wakatae!” katakata. Video hii inajumuisha mifano mitatu ya hali ambapo watoto wanahim…
Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu

Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu

Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa pili kwen…
Wimbo wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu – Usilifanye

Wimbo wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu – Usilifanye

Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto wasikilize hisia zao. Watoto wanahimizwa wasifanye mambo yanayowapa wasiwasi.  Kwa mashauri y…
Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu

Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu

Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu yanatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa kwanza kwenye to…
Wimbo wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Wimbo wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto kwamba mwili wao ni wao wenyewe na hakuna aliye na haki ya kuwaumiza au kugusa sehemu zao za siri.…
Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu inatoa njia rahisi, ya hatua kwa hatua ya kujadili na watoto mada nyeti au ambayo huenda hutaki k…
Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Mifuatano - 14 Rasilimali
Mwili Wangu ni Mwili Wangu ni mpango wa bure wa kuzuia unyanyasaji wa watoto unaowawezesha ama kuwaelimisha watoto kupitia burudani, video za muziki …