Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
None
Zote▾
  • Zote
  • Afua
    • Zote
    • Afya
    • Maishilio
    • Kiroho
    • Maendeleo ya Vijana
    • Ustahilimilivu wakati wa majanga
    • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
  • Ulinzi wa Mtoto
  • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Fumbo la tajiri mjinga (mtindo wa mchunga ng'ombe)

2015
Tazama

Fumbo la tajiri mjinga (mtindo wa mchunga ng'ombe)

Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Kiswahili • MB 13.6
Kategoria None
Copyright Owner max7.org

Video hii hai inasimulia hadithi ya fumbo la tajiri mjinga, iliyo katika Luka 12. Inalinganishwa na kisa cha  Mack, mkulima aliyegeuka na kuwa mchunga ng'ombe huko Magharibi, anashangazwa na mimea mingi porini na mipaka yenye vumbi. Licha ya mipango mikubwa, utatuzi wa matatizo wa Mack; nia nzuri ilibadilika na kuwa za uchoyo. Rasilimali hii ya video haina vipengele vya lugha, kuifanya iwe ya kufaa kwa watu wa lugha zote, na ina urefu wa dakika 3 na sekunde 7. Inafaa kwa watoto wenye umri wa miaka 5 na kuendelea.

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha