Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | Child and Youth tutoring resources > SPRIRITUAL DEVELOPMENT > Video-Bible stories |
Copyright Owner | max7.org |
Video hii hai inasimulia hadithi ya fumbo la tajiri mjinga, iliyo katika Luka 12. Inalinganishwa na kisa cha Mack, mkulima aliyegeuka na kuwa mchunga ng'ombe huko Magharibi, anashangazwa na mimea mingi porini na mipaka yenye vumbi. Licha ya mipango mikubwa, utatuzi wa matatizo wa Mack; nia nzuri ilibadilika na kuwa za uchoyo. Rasilimali hii ya video haina vipengele vya lugha, kuifanya iwe ya kufaa kwa watu wa lugha zote, na ina urefu wa dakika 3 na sekunde 7. Inafaa kwa watoto wenye umri wa miaka 5 na kuendelea.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.