Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa > Ushirikawenza |
Copyright Owner | Compassion International |
Mwongozo huu unahusisha taratibu za uandikishaji wa watoto wanaoingia katika programu. Mwongozo unafaa kwa matmizi ya makanisa mapya au watendakazi wapy kwenye huduma ambao wangependa kujua taratibu husika.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.