Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA |
Copyright Owner | max7.org |
Target Groups | Miaka 3-5, Miaka 6-8 |
Video hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea kutoka katika kundi, mchungaji anawaacha kondoo wengine na kwenda kumuokoa kondoo aliyepotea. Video inagusia hisia za kupoteza kitu muhimu sana na hisia nzuri ya kukipata. Umepotea au umepatikana? Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 2 na sekunde 9, na infaa kwa watu wa umri wote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.