Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa > Miongozo ya Watendakazi |
Copyright Owner | Compassion International |
Huu ni mwongozo unaoelekeza matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani. Ni kwa lengoa la kumsaidia mtendakazi katika utekelezaji wa mtaala wa programu ya nyumbani.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.