Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa |
Copyright Owner | Compassion International Tanzania |
Target Groups | Wafanyakazi wa FCP |
Mwongozo huu umetengenezwa kwa lengo la kutoa elimu kwa watendakazi juu ya makuzi na maendeleo ya watoto katika umri awali. ELimu hii inawezesha mtendakazi kuwa na umahiri katika utekelezaji wa programu kwa wazazi/walezi wa washiriki wa programu hasa walio katika umri wa awali( miaka 0-6).
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.