Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mifuatano: Miongozo ya mafunzo kwa watendakazi wa Huduma ya mtoto na kijana

2025
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

7 hati • Kiswahili • MB 35.2
Kategoria Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Copyright Owner Compassion International Tanzania
Target Groups Wafanyakazi wa FCP, Wakufunzi

Huu ni mfuatano wa miongozo ya watendakazi wa huduma ya mtoto na kijana katika kanisa mshirikamwenza. Miongozo hii inahusisha maelezo ya kina juu ya viwango vya kutekeleza programu kwa maendeleo ya watoto na vijana. Hivyo mtendakazi yeyote anayeingia katika huduma ya mtoto na kijana anaweza kunufaika kwa kusoma miongozo hii na kuifahamu huduma vizuri. Pia miongozo inaweza kutumika kama rejea kwa mtu yoyote akiwa katika utekelezaji au usimamizi wa huduma ya mtoto na kijana.

Hati


Viwango vya Utekelezaji wa programu

Viwango vya Utekelezaji wa programu

Mowngozo huu unahusisha viwango vya utekelezaji wa programu mbalimbali zinatofanyika kwa maendeleo ya watoto na vijana katika kituo.
CITZ-Mwongozo wa Programu ya mawasiliano- 2024

CITZ-Mwongozo wa Programu ya mawasiliano- 2024

Mwongozo huu ni kwa ajili watendakazi wapya ili waweze kujua mambo ya msingi katika mawasiliano ya washiriki wa programu na wafadhili.
CITZ Mwongozo wa programu za Afya 2024

CITZ Mwongozo wa programu za Afya 2024

Mwongozo huu unalezea taratibu mbalimbali katika kutekeleza programu za afya kwenye kituo cha huduma ya mtoto na kijana.
SAFINA TOOLKIT GUIDE-CITZ 2024

SAFINA TOOLKIT GUIDE-CITZ 2024

Mwongozo huu ulenga kusaidia watendakazi wapya hasa wanaohusika na fedha kituoni kupata ujuzi wa namna ya kutumia Safina toolki kwa masuala yote ya f…
Mwongozo wa Afua ya kunusuru maisha na programu ya nyumbani

Mwongozo wa Afua ya kunusuru maisha na programu ya nyumbani

Mwongozo wa makuzi na maendeleo ya watoto akatika umri wa awali

Mwongozo wa makuzi na maendeleo ya watoto akatika umri wa awali

Mwongozo huu umetengenezwa kwa lengo la kutoa elimu kwa watendakazi juu ya makuzi na maendeleo ya watoto katika umri awali. ELimu hii inawezesha mten…
Mwongozo wa matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani

Mwongozo wa matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani

Huu ni mwongozo unaoelekeza matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani. Ni kwa lengoa la kumsaidia mtendakazi katika utekelezaji wa mtaala wa program…

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

    Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

    Mifuatano - 5 Rasilimali
    Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
  • Poster

    Poster

  • Infographic

    Infographic

  • Facilitator guide-Africa Region

    Facilitator guide-Africa Region

  • National Office intervention Overview

    National Office intervention Overview

    The purpose of this guide is to provide National Offices with an overview of the intervention
  • Trauma-Informed Training

    Trauma-Informed Training

    Mifuatano - 10 Rasilimali
    This training an introduction to how trauma affects children and youth and what we as a community can do to help. Training includes PowerPoint presen…
  • TZ RESOLVER MATERIALS

    TZ RESOLVER MATERIALS

    Compassion Tanzania inahamasisha kanisa mshirika mwenza kufanya Kampeni kwa washiriki ili kuongeza ufahamu kuhusu nmana ya kuripoti matukio ya unyana…
  • Mwongozo wa Mwezeshaji- Mkakati wa vikundi vya kuweka akiba

    Mwongozo wa Mwezeshaji- Mkakati wa vikundi vya kuweka akiba

    Huu ni mwongozo wa mwezeshaji wa vikundi vya kuweka akiba utakawezesha kuratibu shughuli za vikundi.
  • Ujuzi wa Malezi

    Ujuzi wa Malezi

    Mwongozo huu umetengenezwa maalum kwa ajili ya kufundishia wazazi/walezi ili kuwajengea ujuzi wa malezi na ulinzi wa mtoto. 
  • Mkakati wa Vikundi vya kuweka akiba( SGI)

    Mkakati wa Vikundi vya kuweka akiba( SGI)

    Mwongozo huu unatumika kuwezesha vikundi vya akiba katika kanisa mchirikamwenza.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha