Main Logo
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
    • Lugha
  • Majadiliano
  • Kozi
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Kozi
  • Majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Zote▾
  • Zote
  • Afua
    • Zote
    • Afya
    • Maishilio
    • Kiroho
    • Maendeleo ya Vijana
    • Ustahilimilivu wakati wa majanga
    • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
  • Ulinzi wa Mtoto
  • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
Kategoria
  • Zote
  • Afua
    • Zote
    • Afya
    • Maishilio
    • Kiroho
    • Maendeleo ya Vijana
    • Ustahilimilivu wakati wa majanga
    • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
  • Ulinzi wa Mtoto
  • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa

Falsafa ya Kanisa- Compassion International

Onesha upya

Onesha upya

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Kiswahili • MB 16.0
Lebo: Jamii ya Kanisa, Kanisa, Kanisa anuwai, Mamlaka ya Kanisa, Sifa za Kanisa, Wajibu wa Kanisa
Kategoria Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Copyright Owner and Year Compassion International, 2015

Kanisa ndio tumaini kubwa kwa dunia, ni chombo cha Mungu cha kuendeleza ufalme wake. Compassion International ni shirika lisilo la kujipatia faida linalounganisha na kuhamasisha Kanisa duniani kutimiza jukumu lake la ufuasaji wa ujumla kwa watoto walio katika umaskini. Ikiwa na uzoefu wa miaka sitini ya kutekeleza ukuaji wa jumla kupitia kanisa, Compassion inatoa uelewaji wa msingi kwa Kanisa juu ya jukumu muhimu katika vita dhidi ya umaskini. Vilevile Compassion inaangazia umuhimu wa ulinzi na ukuaji wa watoto walio hatarini. Kijitabu hiki, kinachotolewa kwa mara ya kwanza kwa lugha ya Kiswahili, kinafafanua falsafa ya Compassion kuhusu Kanisa. Kanisa ni nini? Kwa nini Kanisa ni muhimu? Kanisa linafaa kuwa na jukumu gani katika kutokomeza umaskini na ukuaji wa watoto duniani? Karibu usome kitabu hiki.

Hati hii ni sehemu ya: Miongozo ya mafunzo kwa viongozi wa kanisa Mshirika-mwenza

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.
  • About
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • Terms of Use

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.