Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | FCP learning resources |
Author | Dr Frank Mganga Frank |
Kitabu cha Qavah kinalenga kuhamasisha kanisa katika kutumia raslimali zake kuhudumia jamii zinazolizunguka. Mafunzo ya Qavah hufanyika kabla kanisa halijaanza ushirikawenza na Compassion na kama kanisa likihitaji haya likiwa katika ushirikawenza basi litatuma ombi maalum kwa mwezeshaji wa Compassion.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.