Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa  >  Falsafa
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MAENDELEO YA KIROHO
      • Zote
      • Video- hadithi za kibiblia
      • Mtaala wa Kiroho 9-11
      • Mtaala wa Kiroho 6-8
      • Mtaala wa Kiroho 3-5
    • AFUA MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA MTOTO NA KIJANA
      • Zote
      • Afua ya Afya ya Uzazi-Grow up Smart
      • Afua ya Kuzuia Kujiua-Suicide Prevention
    • MAENDELEO YA KIMWILI
      • Zote
      • Mtaa wa kimwili 3-5
      • Mtaa wa kimwili 9-11
      • Mtaa wa kimwili 6-8
    • MAENDELEO YA KIAKILI
      • Zote
      • Mtaala wa Kiakili 6 - 8
      • Mtaala wa Kiakili 3 - 5
      • Mtaala wa Kiakili 9 - 11
    • MAENDELEO YA KIJAMII
      • Zote
      • Mtaala wa kijamii 9-11
      • Mtaala wa kijamii 6-8
      • Mtaala wa kijamii 3-5
    • MAENDELEO YA VIJANA
      • Zote
      • Mtaala wa kiroho 12-19+
      • Mtaala wa Vijana 12-14
      • Mtaala wa Uongozi
      • Mtaala wa Vijana 19+
      • Shughuli za ziada
      • Mtaala wa Vijana 15-18
      • Shughuli za Kuzalisha Kipato
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Ustahimilivu wa Maafa
        • Zote
      • Ulinzi
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Falsafa ya Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
    • Zote
    • Falsafa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Falsafa ya Kanisa- Compassion International

2015
Onesha upya

Onesha upya

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Kiswahili • MB 16.0
Lebo: Jamii ya Kanisa, Kanisa, Kanisa anuwai, Mamlaka ya Kanisa, Sifa za Kanisa, Wajibu wa Kanisa
Kategoria Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa > Falsafa
Copyright Owner Compassion International

Kanisa ndio tumaini kubwa kwa dunia, ni chombo cha Mungu cha kuendeleza ufalme wake. Compassion International ni shirika lisilo la kujipatia faida linalounganisha na kuhamasisha Kanisa duniani kutimiza jukumu lake la ufuasaji wa ujumla kwa watoto walio katika umaskini. Ikiwa na uzoefu wa miaka sitini ya kutekeleza ukuaji wa jumla kupitia kanisa, Compassion inatoa uelewaji wa msingi kwa Kanisa juu ya jukumu muhimu katika vita dhidi ya umaskini. Vilevile Compassion inaangazia umuhimu wa ulinzi na ukuaji wa watoto walio hatarini. Kijitabu hiki, kinachotolewa kwa mara ya kwanza kwa lugha ya Kiswahili, kinafafanua falsafa ya Compassion kuhusu Kanisa. Kanisa ni nini? Kwa nini Kanisa ni muhimu? Kanisa linafaa kuwa na jukumu gani katika kutokomeza umaskini na ukuaji wa watoto duniani? Karibu usome kitabu hiki.

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha