Series - 8 Resources
Mpango wa Anzisha Biashara Yako(SYB) ni programu ya mafunzo yenye lengo kuu na mwelekeo wa kuanzisha na kuboresha biashara ndogo ndogo kama mkakati w…
Series - 8 Resources
Huu ni Mfuatano wa masomo ya kufundishia watoto kwa maendeleo ya watoto miaka 3-5
Series - 8 Resources
Series - 8 Resources
Hii ni mitaala ya kufundishia watoto wenye umri wa miaka 9-11 katika maeneo ya Kiroho, Kimwili, Kijamii na Kiakili.
Series - 2 Resources
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa umri wa miaka 12-14.
Series - 2 Resources
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 15-18. Ndani ya mitaala hii kuna moduli mbalimbali zinazomwesha kijana kukua katika maeneo mbalimbali k…
Series - 2 Resources
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 19+ Ndani ya mitaala hii kuna moduli mbalimbali zinazomwesha kijana kukua katika maeneo mbalimbali kwa …
Series - 1 Resources
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 12-19+ masuala ya Kiroho. Ndani ya mitaala hii kuna masomo mbalimbali yanayohusu ukuaji wa Ki…
Series - 1 Resources
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na m…
Series - 5 Resources
Series - 6 Resources
Hii ni Afua inayotumia mbinu ya Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
Series - 5 Resources
Afua ya Bunge la Vijana iliundwa na Compassion International kwa kuona mahitaji ya Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza ya kuhamasisha ushiriki wa…
Series - 6 Resources
Afua hii inakusudiwa kuongeza ufahamu, kukuza uelewaji, na kukuza huruma na ujuzi wa vitendo kwa kukabiliana na kujiua ili kuzuiliwe. Washirika wa Ka…
Series - 5 Resources
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Series - 1 Resources
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala…
Series - 5 Resources
Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…
Series - 7 Resources
Ushauri Malezi kwa Vijana (Youth Mentorship) ni mbinu iliyothibitishwa kwa muda mrefu inayoweza kuwasaidia vijana, bila kujali mazingira yao, kufikia…
Series - 5 Resources
Haya ni Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)
Series - 5 Resources
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawez…
Series - 4 Resources
Mfuatano huu unahusisha miongozo mbalimbali ambayo inatumika katika mafunzo ya viongozi wa kanisa mshirikamwenza. Watumiaji wakuu ni Mchungaji, wazee…
Series - 13 Resources
Huu ni mfuatano wa miongozo ya watendakazi wa huduma ya mtoto na kijana katika kanisa mshirikamwenza. Miongozo hii inahusisha maelezo ya kina juu ya …
Series - 3 Resources
Huu ni mfuatano wa miongozo ya kufundishia wazazi/walezi wa watoto na vijana katika huduma ya mtoto na kijana kanisani.
Series - 5 Resources
Huu ni mfuatano wa mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato kwa umri wa miaka 12-19+ ambazo zinaweza kuchaguliwa kufundisha kulingana na mazingira. L…
Series - 4 Resources
Huu ni mfuatano wa masomo ya uongozi kwa vijana. Lengo ni kuwajenda vijana katika ujuzi wa kuongoza ili waweze kuwa na ujasiri wa kushika nafasi za u…