Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Vinjari▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
        • Zote
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Afua mbalimbali▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
        • Zote
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
Matokeo 20 in category: “Afua mbalimbali”
Panga kwa
Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)

Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)

Mifuatano - 5 Rasilimali
Haya ni Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)
Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E)-GrowUp Smart

Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E)-GrowUp Smart

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwawezesha Ofisi za nchi na Washirika wa Kanisa mshirika mwenza (FCPs) kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii kat…
Muhtasari wa afua ya GrowUp Smart kwa Ofisi ya Nchi

Muhtasari wa afua ya GrowUp Smart kwa Ofisi ya Nchi

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipatia Ofisi za Kitaifa Muhtasari wa Afua ya GrowUp Smart.
Muundo (logframe) wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana

Muundo (logframe) wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana

Dhumuni la muundo huu (logframe) ni kuonyesha mtiririko wa kimuundo wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana
Mtiririko wa Kimantiki wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana

Mtiririko wa Kimantiki wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana

Lengo la rasimali hii ni kuonyesha Mtiririko wa Kimantiki wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana
Muhtasari wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana

Muhtasari wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana

Madhumuni ya mwongozo huu ni kutoa muhutasari wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana kwa Ofisi ya nchi
Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kwa Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kwa Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

Huu ni mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kwa Mafunzo ya Stadi za Maisha ya Vijana. Mafunzo ya Stadi za Maisha ya Vijana ni mfululizo wa v…
Mwongozo wa Mwezeshaji wa Mafunzo wa Stadi za Maisha Kwa Vijana

Mwongozo wa Mwezeshaji wa Mafunzo wa Stadi za Maisha Kwa Vijana

Dhumuni la mwongozo huu ni kutoa mwongozo kwa wawezeshaji wakati wakufundisha afua hii ya Mafunzo ya ujuzi stadi kwa vijana.
Mtiririko wa Kimantiki wa Awana (logic model)

Mtiririko wa Kimantiki wa Awana (logic model)

Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa Ofisi za Kitaifa na Kanisa Washirika Wenza(FCPs) ili kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii katika muktadh…
Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuipa Ofisi ya Nchi maelezo ya jumla ya afua
Mwongozo wa Mkakati wa Awana

Mwongozo wa Mkakati wa Awana

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipa  Ofisi za Nchi Mapitio ya Mbinu za Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
Logframe (muundo wa mantiki)

Logframe (muundo wa mantiki)

Huu ni muundo wa mantiki (logframe) wa afua ya afya ya uzazi (GrowUp Smart)
Logic Model (Mtiririko wa Kimantiki)

Logic Model (Mtiririko wa Kimantiki)

Huu ni mtiririko wa kimantiki (logic model) wa afua ya afya ya uzazi (GrowUp Smart).
Mfululizo wa Kozi za Vijana za Alpha

Mfululizo wa Kozi za Vijana za Alpha

Mifuatano - 5 Rasilimali
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawez…
Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Afua ya kuzuia kujiua

Afua ya kuzuia kujiua

Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inakusudiwa kuongeza ufahamu, kukuza uelewaji, na kukuza huruma na ujuzi wa vitendo kwa kukabiliana na kujiua ili kuzuiliwe. Washirika wa Ka…
Mtaala wa Afua ya Unawaji mikono

Mtaala wa Afua ya Unawaji mikono

Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inahusiasha Mtaala wa Unawaji Mikono dhidi ya vimelea Vinavyosababisha Maradhi kwa washiriki wa program kituoni (Germ’s Journey).…
Matokeo tarajiwa katika afua ya Grow Up Smart

Matokeo tarajiwa katika afua ya Grow Up Smart

Hii ni nyaraka inayoonesha matokeo tarajiwa yatakayofuatiliwa na kutathmniwa katika Afua ya Grow Up smart. Hivyo mtumiaji wa mwongozo wa afua hii ana…
Ukurasa 1 of 1

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha