Jipatie nyenzo au raslimali muhimu - katika video za kutia motisha, masomo na machapisho ya kitheolojia kuhusu watoto. Unaweza kushirikisha rasilimali zako mwenyewe ili kuwasaidia watu wengine wanaohusika na watoto wanaoishi katika mazingira ya umaskini.