Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA |
Copyright Owner | Compassion International |
Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Huu ni mfuatano wa masomo ya uongozi kwa vijana. Lengo ni kuwajenda vijana katika ujuzi wa kuongoza ili waweze kuwa na ujasiri wa kushika nafasi za uongozi mahali popote na kuleta mabadiliko chanya.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.