Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa |
Copyright Owner | Compassion International Tanzania |
Target Groups | Wafanyakazi wa FCP, Wakufunzi |
Huu ni mfuatano wa miongozo ya watendakazi wa huduma ya mtoto na kijana katika kanisa mshirikamwenza. Miongozo hii inahusisha maelezo ya kina juu ya viwango vya kutekeleza programu kwa maendeleo ya watoto na vijana. Hivyo mtendakazi yeyote anayeingia katika huduma ya mtoto na kijana anaweza kunufaika kwa kusoma miongozo hii na kuifahamu huduma vizuri. Pia miongozo inaweza kutumika kama rejea kwa mtu yoyote akiwa katika utekelezaji au usimamizi wa huduma ya mtoto na kijana.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.