Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Kiroho |
| Copyright Owner | Biblica |
| Outcome Areas | Ukuaji katika Kristo |
| Needs Categories | Ukuaji katika Kristo |
| Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Afua ya Reach4Life (Fikia Maisha) ni mpango wa kina wa uanafunzi wa Kikristo wa Biblica kwa vijana, wenye msisitizo maalum juu ya utambulisho, ngono na mahusiano unaoleta mabadiliko ya kiroho na tabia kwa ujumla. Afua hii inahimiza usomaji wa Biblia kwa pamoja kwa njia inayogusa masuala halisi za maisha. Ilizinduliwa mwaka 2004 nchini Afrika Kusini na kwa sasa unatumiwa na nchi 40 ulimwengini. Umetafsiriwa katika lugha 40 na tayari umegusa maisha ya vijana milioni 3 kote ulimwenguni.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.