Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > Afua mbalimbali > Kiroho |
Copyright Owner | Alpha International |
Outcome Areas | Ukuaji katika Kristo |
Needs Categories | Ukuaji katika Kristo |
Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawezesha vijana na wanafunzi kushirikisha imani yao kwa marafiki zao. Kozi hii hudumu kwa wiki 12 na kipindi cha saa 2 kila wiki . Hii ikiwa wikendi moja mbali nyumbani na wakati wa katikati ya juma kwa wiki 12.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.