Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | Child and Youth tutoring resources > Intervention Categories > Spiritual Development |
Copyright Owner | Alpha International |
Outcome Areas | Growth in Christ |
Needs Categories | Growth in Christ |
Target Groups | 12-14 years, 15-18 years, 19+ years |
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawezesha vijana na wanafunzi kushirikisha imani yao kwa marafiki zao. Kozi hii hudumu kwa wiki 12 na kipindi cha saa 2 kila wiki . Hii ikiwa wikendi moja mbali nyumbani na wakati wa katikati ya juma kwa wiki 12.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.