Matokeo 11 for Needs Category: “Afya ya jumla”
HUDUMA NA ELIMU YA AWALI

HUDUMA NA ELIMU YA AWALI

Mifuatano - 1 Rasilimali
Huu ni mwongozo wa Shughuli za Kimwili kwa Watoto wa Umri wa Shule ya Awali
Afua ya Nightwatch: Elimu ya Kutokomeza Malaria (HAIPO TAYARI KWA MATUMIZI)

Afua ya Nightwatch: Elimu ya Kutokomeza Malaria (HAIPO TAYARI KWA MATUMIZI)

Mifuatano - 1 Rasilimali
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala…
AFUA YA AFYA YA KINYWA NA MENO (Haijakamilika kwa matumizi rasmi)

AFUA YA AFYA YA KINYWA NA MENO (Haijakamilika kwa matumizi rasmi)

Mifuatano - 1 Rasilimali
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na m…
Kukua kwa Hekima-Kadi za michezo

Kukua kwa Hekima-Kadi za michezo

Hii ni nyaraka ya Kukua kwa Hekima-Kadi za michezo
Safari ya  Vijidudu (Germs' Journey)

Safari ya Vijidudu (Germs' Journey)

Nyenzo hii inonyesha safari ya vijidudu kuingia kwenye mwili wa binadamu.
Video ya afua ya unawaji mikono-jinsi ya kutengeza bomba la miguu la kunawia

Video ya afua ya unawaji mikono-jinsi ya kutengeza bomba la miguu la kunawia

Video hii inalenga kuwafundisha watoto namna ya kutengeneza bomba la kunawia katika mazingira ya nyumbani.
Video ya Afua ya unawaji mikono-umuhimu wa kutumia sabuni

Video ya Afua ya unawaji mikono-umuhimu wa kutumia sabuni

Lengo la video hii ni kuonyesha umuhimu wa kutumia sabuni wakati wa kunawa.
Video ya afua ya unawaji mikono-zoezi la jinsi ya kunawa kwa usahihi

Video ya afua ya unawaji mikono-zoezi la jinsi ya kunawa kwa usahihi

Lengo la video hii ni kuonyesha namna ya kunawa kwa usahihi.
Video ya Afua ya unawaji mikono-Namna ya kutumia jeli/sabuni kunawia (glow jel)

Video ya Afua ya unawaji mikono-Namna ya kutumia jeli/sabuni kunawia (glow jel)

Video hii inaonyesha namna ya kutumia sabuni ya maji/glow jell katika unawaji sahihi wa mikono.
Video ya Afua ya unawaji Mikono-kuchora vijidudu

Video ya Afua ya unawaji Mikono-kuchora vijidudu

Video hii inalenga kuwafundisha watoto aina mbalimbali ya vijidudu kama sehemu ya kujifunza namna ya kuvikabili katika afua hii.
Video ya Afua ya unawaji mikono (germ's journey)

Video ya Afua ya unawaji mikono (germ's journey)

Hii ni video inayoonyesha unawaji mikono sahihi.