Main Logo
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
    • Lugha
  • Majadiliano
  • Kozi
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Kozi
  • Majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Search
  • Unganisha >
  • Jukwaa >
  • nini maana ya ulinzi wa mtoto >
  • Unyanyasaji
BA

Unyanyasaji

Batimayo A. limechapishwa 1 year, 5 months ago
Ni namna ya kuondoa haki kwa mhusika na kumkandamiza
kiungo
KUMBUKA A. avatar
KUMBUKA A. limejibiwa 11 months, 3 weeks ago
Unyanyasaji ni hali kumfanya mtu/mtoto ajihisi kutengwa, kuonewa na kuumizwa kihisia
kiungo
MQ
Martin Q. limejibiwa 1 year, 1 month ago
ni hali ya kumnyima mhusika haki anayostahili kimwili,kiakili,kihisia na hata kiroho
kiungo
Jiandikishe au ingia katika akaunti kuunda ili kuchapisha jibu.
  • About
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • Terms of Use

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.