Unyanyasaji
Batimayo A.
posted
7 months ago
Ni namna ya kuondoa haki kwa mhusika na kumkandamiza
KUMBUKA A.
replied
1 month, 2 weeks ago
Unyanyasaji ni hali kumfanya mtu/mtoto ajihisi kutengwa, kuonewa na kuumizwa kihisia
Martin Q.
replied
3 months, 2 weeks ago
ni hali ya kumnyima mhusika haki anayostahili kimwili,kiakili,kihisia na hata kiroho