Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Unganisha >
  • Jukwaa >
  • nini maana ya ulinzi wa mtoto >
  • Unyanyasaji
Search
default avatar

Unyanyasaji

Batimayo A. limechapishwa 9 months ago
Ni namna ya kuondoa haki kwa mhusika na kumkandamiza
kiungo
KUMBUKA A. avatar
KUMBUKA A. limejibiwa 3 months, 2 weeks ago
Unyanyasaji ni hali kumfanya mtu/mtoto ajihisi kutengwa, kuonewa na kuumizwa kihisia
kiungo
default avatar
Martin Q. limejibiwa 5 months, 2 weeks ago
ni hali ya kumnyima mhusika haki anayostahili kimwili,kiakili,kihisia na hata kiroho
kiungo
Jiandikishe au ingia katika akaunti kuunda ili kuchapisha jibu.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha